Monday 26 March 2018

http://mdundo.com/a/106245
Gusa hiyo link itakupeleka kupakua ngoma mpya ya

Chris Middle - Chonde Chonde (Official Music Audio)

Sunday 13 August 2017

Motokombati_Mikono juu

https://soundcloud.com/mofire-again-tz/motokombati_mikono-juu

Saturday 12 August 2017

Mapua ft Country Boy _ Sielewi

https://soundcloud.com/mofire-again-tz/mapua-ft-country-boy-sielewi

Thursday 5 January 2017

Ujio wa wasanii wapya tokea studio za Fire Music Tanzania wanaitwa VIBUNGO wimbo unaitwa MWANIKALIA NDENDE chini ya producer MOFIRE AGAIN na video imefanywa na directot OTIENO nyimbo upo ktk mahadhi ya MASANTULA ni wasanii wapya na wenye uwezo mkubwa.

Thursday 4 August 2016

Mjue marehem ude ude na kazi zake kupitia hapa

Msanii wa bongo fleva ude ude na rafiki yake wa karibu Iqu junior hatunao tena duniani baada ya kupata majeraha makali ya risasi yaliosababisha umauti wao huko mkoani tanga ni msiba mkubwa sana kuondokewa na viungo hivi ktk tasnia yetu ude ude ni msanii mkubwa na ni mtunzi mzuri sana ambae aliwahi kuwatungia wasanii wakubwa na ni nyimbo ambazo zinafahamika ndani na nje ya nchi ambae pia aliwahi kutamba na wimbo wake wa ngoma inogile mwaka 2013 na pia alikuwa mbioni kufanikisha ndoto zake kimusic ila binadam huwa tunapanga na mungu nae hupanga lake mungu awapokee ndugu zetu na awasamehe madhambi yao R.I.P

Thursday 28 July 2016

kanga moko waja kivyengine chini ya producer mofire again

Angalia video ya wanadada wale waliokuwa kanga moko na ujio wao mpya ni utofauti wa hali ya juu tazama ujionee.